Sir Samwel, Founder wa Kings Capital Tanzania, ofisini kwake

SIR SAMWEL

Founder & Financial Market Educator — Kings Capital Tanzania

Miaka 8 katika Financial Market — sasa experience yangu inapatikana kwako.

Chagua Njia Sahihi ya Kuanza au Kuendelea na Trading.

Learn the Market. Build the Skill. Trade with Confidence. — Kuanzia free education, recorded videos, trading robot, signals, account management mpaka mentorship.

Trading involves risk. Education and services presented here do not guarantee profit.

Karibu — tuanzie hapa

Unahitaji msaada gani?

Chagua kadi moja — tutakupeleka moja kwa moja kwenye huduma inayokufaa.

Huduma 1 — Bure

Anza Forex Kutoka Beginner Mpaka Advanced — Bure

Sessions 10 za PDF zilizopangwa hatua kwa hatua: market structure, calculations, brokers, analysis, risk management na psychology — kwa Kiswahili-English rahisi.

Wanafunzi wa Kings Capital wakifuatilia session ya mafunzo darasani
Msingi mmoja, hatua kumi — kila mtu anaanzia hapa. Community Session

Sessions Zako 10

Umefungua sessions 0 kati ya 10

PDFs zinasomwa hapa hapa (read-only) — hakuna ku-download wala ku-print.

Anza Free Course

Andika jina lako mara moja tu — sessions zote 10 zinafunguka papo hapo. Hakuna malipo, hakuna kusubiri, hakuna WhatsApp.

Jina lako linabaki kwenye kifaa chako pekee — halitumwi popote.

Huduma 2 — Master Class Videos

Recorded Training Videos

Videos kamili za course yetu ya Forex Trading — Simple Price Action Master Class. Unajifunza kwa muda wako, na unaweza kurejea kujifunza muda wowote.

Mwanafunzi akifuatilia somo kwa makini akiwa na kifaa chake mkononi
Jifunze kwa kasi yako — rejea somo mara nyingi upendavyo. Self-Paced Learning

Unachopata

  • Master Class nzima imerekodiwa — kuanzia Foundation mpaka Simple Price Action Strategy
  • Market structure, candlestick psychology, liquidity, risk management na trading psychology
  • Videos zinatumwa kwenye Telegram yako baada ya malipo kuthibitishwa
  • Unapewa Drive link ya ku-download na kuhifadhi kwako
  • Unarejea masomo muda wowote — hakuna expiry
Bei ya Package USD 150 TZS 390,000

Jiunge na Video Package

Ujumbe wako utaeleza: unataka video package, unajua bei (USD 150 / TZS 390,000), na unaomba mwongozo wa payment details na jinsi ya kuanza.

Huduma 3 — Automation

Trading Robot

Automated trading system ya Kings Capital. Pata maelezo kamili ya jinsi inavyofanya kazi na jinsi ya kuanza kupitia service page yetu rasmi — na maswali yoyote wakati wa mchakato, tuma ujumbe WhatsApp tutakusaidia.

Sir Samwel kwenye trading desk ya Kings Capital yenye screens za soko
Mfumo unaofanya kazi kwa nidhamu — bila hisia, bila kuchoka. Trading Desk
Bei ya Robot USD 299 TZS 745,000 Soma Maelezo Kamili ya Robot

Omba Trading Robot

Huduma 4 — Signals & Community

Kings Capital VIP Signal Group

Unaweza kutrade, lakini unahitaji analysis na community? Jiunge na VIP Signal Group.

Live session ya Kings Capital ikiwa na washiriki wengi ukumbini
Hutrade peke yako — kuna community inayosoma soko pamoja nawe. Live Sessions

Unachopata Kwenye VIP Group

    Soma Zaidi Kuhusu Signal Group

    Signals ni kwa ajili ya analysis support na elimu. Kila trader anabaki na wajibu wa risk management na maamuzi ya account yake.

    Jiunge na VIP Signal Group

    Huduma 5 — Account Management

    Account Management Kupitia Copy Trading

    Account yako inaunganishwa moja kwa moja na master trading system yetu, na kila trade tunayochukua ina-copiwa automatically kwenye account yako — kwa consistency, transparency na professional risk management, huku wewe ukiwa na uwezo wa kufuatilia kila kinachoendelea muda wowote.

    Session ya Kings Capital ikiwa na banner ya broker rasmi nyuma ya mzungumzaji
    Broker rasmi, mfumo wa wazi — unafuatilia account yako muda wowote. Transparency

    Deposit & Withdrawal Policy

      Omba Account Management

      Huduma 6 — Mentorship

      Forex Mentorship — Kutoka Beginner Mpaka Independent Trader

      Kama unataka kujifunza kwa serious na kufikia level ya kuwa profitable trader, mentorship ndiyo njia sahihi zaidi kuliko kujifunza random kutoka sources tofauti. Programs zetu zote zime-designed kumfanya mtu si ajue tu kuhusu forex, ila aweze ku-trade na kujisimamia mwenyewe — not shortcuts, but real skills.

      Mentor akifundisha soko hatua kwa hatua mbele ya darasa
      Hatua kwa hatua — mpaka uweze kusimama mwenyewe sokoni. Mentorship in Action

      Utakachopata Kwenye Mentorship

      • Forex foundation (market understanding)
      • Proven trading strategies — Simple Price Action
      • Risk management ya kulinda mtaji
      • Trading psychology & discipline
      • Live guidance mpaka uwe independent trader
      • Mwezi 1: theoretical training · Wiki zinazofuata: practical kwenye demo account

      Ona packages zote kwa undani zaidi →

      Omba Mentorship

      Mzungumzaji akifundisha mbele ya washiriki kwenye session ya Kings Capital
      Mafunzo halisiReal Training
      Mshiriki wa Kings Capital akifuatilia session akiwa na wenzake
      Watu halisiReal People

      Kwa nini Kings Capital

      Real skills, sio shortcuts

      • Miaka 8 ya experience halisi kwenye financial markets
      • Programs zime-designed kukufanya u-trade na kujisimamia mwenyewe
      • Unaanzia bure — ulipe pale unapoona thamani
      • Risk inasemwa wazi kwenye kila huduma — hakuna guaranteed profit
      • Support ya moja kwa moja WhatsApp muda wote wa mchakato

      Inavyofanya kazi

      Hatua nne rahisi

      Chagua huduma inayokufaa kwenye kadi sita hapo juu.

      Jaza fomu fupi — jina, level na package.

      Ujumbe wako unaandaliwa automatic na kufunguliwa WhatsApp — ukiwa na bei na maelezo tayari.

      Unapokea payment details, unalipa, unatuma receipt — na safari inaanza.

      Maswali ya kawaida

      FAQ

      Nikilipia video package, nazipataje?
      Baada ya malipo kuthibitishwa (tuma receipt yako na jina kamili + namba ya simu), videos zinatumwa moja kwa moja kwenye Telegram yako, na unapewa Drive link ya ku-download na kuhifadhi kwako.
      Nalipaje?
      Kupitia M-Pesa: namba 0760202210, jina Samwel Owino, reference "Kings Capital Services". Bonyeza "Lipa Sasa" kwenye huduma yoyote kuona details kamili na kiasi sahihi, kisha tuma receipt WhatsApp kwa verification na enrollment.
      Je, mnahakikisha profit?
      Hapana. Trading ina risk, na hakuna mtu anayeweza kuhakikisha profit kwa uaminifu. Tunachohakikisha ni elimu ya kweli, mfumo wa wazi na support ya karibu.
      Kwenye Account Management, pesa yangu inakaaje?
      Kwenye Personal Trading Account, deposit na withdrawal zinabaki chini ya control yako kabisa. Kwenye packages zote, deposits/withdrawals lazima zitoke kwenye jina linalofanana na la trading account — third-party haziruhusiwi kwa usalama wako. Profit share ni 50/50, na una full monitoring access muda wote.
      Mentorship inachukua muda gani?
      One-to-One: wiki 3. Group: mwezi mmoja na wiki mbili (madarasa saa 10 jioni, siku 5 kwa wiki). Mwezi wa kwanza ni theoretical training, wiki zinazofuata ni practical kwenye demo account.
      Naweza kuanzia wapi kama sijui chochote?
      Anza na Free Course (kadi ya kwanza) — sessions 10 bure kabisa. Ukimaliza utakuwa na msingi wa kuchagua hatua inayofuata.

      Risk Disclosure

      Trading ya forex na financial instruments nyingine ina risk kubwa ya kupoteza capital yako yote, na haifai kwa kila mtu. Elimu, videos, signals, robots, account management na mentorship vinavyotolewa hapa ni huduma za elimu na msaada wa trading — havihakikishi faida yoyote. Malengo ya pips ni malengo ya analysis, sio ahadi ya matokeo. Kila mteja anabaki na wajibu wa maamuzi yake na risk yake. Usitrade kwa pesa ambayo huwezi kuvumilia kuipoteza.