Privacy Policy
Sera hii inaeleza jinsi taarifa zako zinavyotumika kwenye tovuti ya Kings Capital Tanzania (SIR SAMWEL).
Taarifa tunazokusanya
- Jina lako, level, package na ujumbe unaojaza kwenye fomu — vinatumika KUANDAA ujumbe wa WhatsApp tu.
- Tovuti hii haihifadhi fomu kwenye server yoyote; ujumbe unaenda moja kwa moja kwenye WhatsApp.
- Jina lako linaweza kuhifadhiwa kwenye kifaa chako (browser storage) ili kufungua free course na ku-watermark PDF viewer.
Malipo
Tovuti hii HAIKUSANYI wala kuhifadhi taarifa za kadi wala M-Pesa PIN. Malipo yanafanyika moja kwa moja kupitia M-Pesa, na receipt inatumwa na wewe kupitia WhatsApp kwa verification.
Analytics
Hakuna analytics inayopakiwa isipokuwa ID zimewekwa kwenye config. Zikiwekwa, zinafuata sera za watoa huduma husika (Google / Meta).
Mawasiliano
Kwa maswali ya faragha, tumia WhatsApp button iliyopo kwenye tovuti.