Terms & Conditions
1. Elimu, sio financial advice
Huduma zote (free course, recorded videos, trading robot, VIP signals, account management na mentorship) ni za elimu na msaada wa trading. Sio financial advice na hazihakikishi faida yoyote.
2. Risk
Trading ina risk kubwa ya kupoteza capital yote. Malengo ya pips ni malengo ya analysis, sio ahadi ya matokeo. Kila mteja anabaki na wajibu kamili wa maamuzi yake.
3. Matumizi ya content
Recorded videos, Drive links, PDFs na materials zote ni za matumizi binafsi ya aliyelipia. Kusambaza, ku-share au kuuza kunavunja masharti haya na kunaweza kusababisha access kuondolewa bila refund.
4. Account Management
Profit share ni 50/50 kati ya investor na Kings Capital. Personal Trading Account ina one-time setup fee ya USD 100 na minimum capital ya USD 1,000. Deposits na withdrawals lazima zitoke kwenye jina linalofanana na jina la trading account; third-party transactions haziruhusiwi. Withdrawal processing inaweza kuchukua masaa 24–72 kutegemea broker au payment method.
5. Malipo na uthibitisho
Malipo yanafanyika kwa M-Pesa (namba 0760202210, jina Samwel Owino, reference "Kings Capital Services"). Access inatolewa baada ya receipt kuthibitishwa pamoja na jina kamili na namba ya simu.
6. Mabadiliko
Bei, packages na masharti vinaweza kubadilika. Yaliyopo wakati wa malipo ndiyo yanayotumika kwa huduma husika.